Nafasi za kazi na ajira Tanzania

jiPatie nafasi za kazi na ajira – Upload CV yako hapa chini

Kwa kutumia mtandandao wa ajira zetu unaweza kupata nafasi za kazi au ajira kwa urahisi na ndani ya muda mfupi sana, Matadano huu umeweza kuwasaidia watu wengi sana kuajiriwa ndani na nje ya Tanzania, haijalishi uwe unatokea kijijini au mjini, unachotakiwa ni kijiunga bure na kutuma CV yako tu. CV yako itahifadhiwa kwa umakini kabisa kwenye database ya system yetu ili kutumika baadae pindi tu nafasi za kazi au ajira zinapotangazwa, Jukukumu letu ni kukusaidia kwa kuangalia je CV yako inavigezo vinavyofanana na nafasi za kazi husika zilizo tangazwa kwa wakati huo? kama inafaa sana tuwasiliana na wahusika waliotangaza kazi hiyo na kuwapa CV yako and then tutawasiliana na wewe na kukupa utaratibu unaofata ili uweze kuwasiliana nao direct.

Ni vizuri Cv  na barua yako ya maombi iandikwe kwa English iwe inajieleza na iwe na mpangilio mzuri, hakikisha unatuma original file ( Microsoft word au PDF ) tafadhali sana usitue scnanned docunent, Hakikisha unaweka wazi infomation za ukweli hasa hasa jinsi ya kukupata mawasiliano ni muhimu sana. Hakikisha uko na pasport ambayo ni valid atleast ndani ya miezi sita na kwa madereva hakikisha leseni yako pia ni valid. Hivi vitu ni muhimu sana tafadhali zingatia kila kilichoelezwa kwenye ukurasa huu.

Bonyeza hapa Kama utahitaji msaada wa kuandikiwa CV na barua ya maombi kwa kiingereza

Usisahau kushare habari ya website yetu na wenzako kumbuka uchoyo sio kufanikiwa na huwezi jua nani atakuja kukusaidia mbele ya safari

File Restrictions: File size: 2MB or less, File types: 'doc', 'docx', 'txt', 'rtf' and 'pdf'.
File Restrictions: File size: 2MB or less, File types: 'doc', 'docx', 'txt', 'rtf' and 'pdf'.

SIGN UP FOR JOB ALERT!

We'll send new, local jobs straight to your inbox
Enter your e-mail and subscribe to our newsletter.